Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Msaliti kawa CEO mkuu....ndoto yake ya siku nyingi....
CHADEMA ni heshima kubwa kinaweza kuwapiga chini mayuda iskariote wote pamoja na CEO wao aka Ayatolar the king.
Hongera CHADEMA
CEO WA ACT kutokewa ilikuwa lazima maana MKUU WA USALAMA PALE DODOMA YULE MAMA ALIFIKIA ATUA YA KUOMBA WAWEKE UZIO ILI ZITTO ASIONEKANE KWENYE NYUMBA MPYA ILIYOKUNGULIWA.
Dhambi ya Usaliti haina tafauti nakula nyama ya binadamuHuyu CEO alikuwa anapewa kila kitu na Mbowe kuanzia nguo,viatu na gari akapewa.Leo hii amekuwa sawa na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu
Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?
Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?
Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.
Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.
Wajinga ndio waliwao, endelea kuamini kuwa kila anayetofautiana na chama ni msaliti. Kafulira alifukuzwa CHADEMA na kuitwa sisimizi, mbona leo amepewa uwaziri kivuli na Mbowe ambae alimuona sisimizi alipokuwa CHADEMA?
Huyu unayemuita msaliti alisema vyama vya siasa vikaguliwe mkasema anatafuta umaarufu, mbona leo ripoti ya CAG kwa mwaka 2013 inaonesha kuwa CHADEMA ilipata hati yenye mashaka kutokana na kufanya manunuzi bila idhini ya bodi? Si mnasema CHADEMA inazingatia kanuni na taratibu, mbona kwenye manunuzi hizo taratibu hazizingatiwi? kuna tofauti gani sasa ya CHADEMA na CCM? hamka ndugu acha kutumika kama toilet paper.
Kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu, CHADEMA ilisema CUF ni CCM B na inafuata sera ya ushoga, mbona leo wako wote UKAWA? CUF imebadilika na kuacha kufuata sera za ushoga au CHADEMA ndio kigeugeu?