Hongeren Wanawake

salute mingi mingi ila kwa dunia ya sasa ni wachache mno wanaoweza kutekeleza majukumu haya
 
Respect kwa wanawake wote wanaojitambua
 
Safi wanawake!... Sasa tuwekee na mzigo wa wanaume tulinganishe!...
 
Mkuu ulitakiwa uweke na wanawake wa miaka ipi wengine hapa watapata heshima za bure
 
Mimi mke wangu nimemtua huo mzigo kwa zaidi ya 97% ya yaliyopo hapo.
 
Sijaelewa bado aiseeee...[emoji15] [emoji15]
Yaani hilo limzigo lote hapo, alafu mtu unaambiwa hongera kisha unachelelea...[emoji45] [emoji45]
Ebu ngoja nikarudie kusoma, pengine sijaelewa hii picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…