Sijapata sababu za kwa nini huyo mwanamke alipigwa!, vinginevyo hii ya kushabikia pasi kujua kisa kwa undani ni sawa na kula ukiwa gizani..[emoji32] !!
Tuwe wa kweli kabisa kama Kofi Olomide angefanya alioyafanya Kenya yaani kumpiga kumdhalilisha Mwanamke hapa Tanzania asingefukuzwa kwanza jamii yetu ya Kitanzania ndiyo ingemgeukia yule Mwanamke na kumwita majina yote Duniani kwamba ni Malaya, amejitakia badala ya kumtetea!
Wachina si ndiyo wale waliyobarikiwa na Mwenye nyumba na kusifiwa wana mahela Mengi? we unategemea mchina ataguswa nchi hii hata akifanya kosa?Da kweli wabongo c ni wapuuzi maana kuna mchina kamuua mtanzania kwenye migodi kisa kudai aongezewe hela lkn kimya sisikii chochote aise I hate to be in this poor countries
Hamna justification, Hamna sababu yoyote ya mtu kupigwa hilo ni kosa la jinai!Sijapata sababu za kwa nini huyo mwanamke alipigwa!, vinginevyo hii ya kushabikia pasi kujua kisa kwa undani ni sawa na kula ukiwa gizani..[emoji32] !!
Da kweli wabongo c ni wapuuzi maana kuna mchina kamuua mtanzania kwenye migodi kisa kudai aongezewe hela lkn kimya sisikii chochote aise I hate to be in this poor countries [/QUOTE]
tumia lugha unayoimudu vyema
Ilaumu serikali usiseme Eto sisi wabongo,huuwezi kumlaumu mtu Yuko dar au arusha etc tukio limetokea geitaaa...Da kweli wabongo c ni wapuuzi maana kuna mchina kamuua mtanzania kwenye migodi kisa kudai aongezewe hela lkn kimya sisikii chochote aise I hate to be in this poor countries
Kenya ni nchi ya kike tunajua hivyo, wanawake wanawanyima wanaume unyumba, Kibaki kulazimishwa na mke wake kwenda media kuongelea michepuko. Kenya inaongoza wanaume kupigwa na wake zao. Kuna haja ya kuwaza zaidi ya kumhurumia mwanamke kwa ujumla. Kuna siku mtadai haki kutoka kwa wanawake.Typical Mwanaume wa Kitanzania tayari umeshaelekea upande wa Mwanaume na kumlaumu Mwanamke na ndicho nilichomaanisha, hakuna sababu yoyote ile inayoweza kumpa haki binadamu kumpiga binadamu mwingine!
We utakuwa mwanamke naona. Sisi kiumeni sababu za kumfumua mwenzio zipo.Typical Mwanaume wa Kitanzania tayari umeshaelekea upande wa Mwanaume na kumlaumu Mwanamke na ndicho nilichomaanisha, hakuna sababu yoyote ile inayoweza kumpa haki binadamu kumpiga binadamu mwingine!
Wacha kusema ukweli..Watanzania wenzako watakumaliza..Tuwe wa kweli kabisa kama Kofi Olomide angefanya alioyafanya Kenya yaani kumpiga kumdhalilisha Mwanamke hapa Tanzania asingefukuzwa kwanza jamii yetu ya Kitanzania ndiyo ingemgeukia yule Mwanamke na kumwita majina yote Duniani kwamba ni Malaya, amejitakia badala ya kumtetea!
Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuna kipindi Wazungu walimdhalilisha dada yetu wa ya Kitanzania kwa kumlazimisha afanye mapenzi na Mbwa jamii yetu (sehemu kubwa, ingawaje siyo yote) ya Kitanzania badala yakuwa upande wa ndugu na dada yetu ikawa upande wa Mzungu na kumuita dada yetu Malaya na majina yote, nakumbuka ishu ya Saro iliyotokea maeneo ya Kimara ambapo Mwanaume kwa hasira zake akaamua kupiga risasi na kuuwa watu, jamii yetu (sehemu kubwa siyo yote) ikawa upande wa muuwaji na kumtenga mama Saro hivyo historia hii inaniambia kwamba WatanZania Wanaume kwa jinsi wanavyopenda miziki ya Kongo kukata viuno stejini wangeandamana kumtetea Kofi Olomide na kumuadhibu Mwanamke kwamba alijitakia, kwani Mwanaume wa kitanzania ana matatizo ya kisaikolojia na huona Mwanamke ndiyo wa kumtolea matatizo yake yote na humlaumu Mwanamke kwa kila kitu, hata tu akipata mtoto mlemavu humlaumu Mwanamke kwa hilo na hatimaye kumkimbia!
Hivyo kwa hili nasema Hongereni sana Kenya kwa kuonyesha mfano mzuri wa kutetea wanyonge na wanaonewa, hivi sasa Kofi Olomide yuko Lupango!
Mungu Awabariki kwa Hilo!