Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Moshi Mjini mgombea wa CHADEMA alimzidi WA CCM kwa kura 30,000 lakini matokeo yalichukua siku mbili kutangazwa tena mbele ya mitutu ya bunduki na magari ya kuwasha.Pia tambua amewazid wagombea wengine zaidi ya kura elfu kumi na nne.
Matokeo yake hayakuwa na utata mana hayachakachuliki.
Pia tambua amewazid wagombea wengine zaidi ya kura elfu kumi na nne.
Matokeo yake hayakuwa na utata mana hayachakachuliki.
Hongera Zitto kwa jitihada zako za kufifisha upinzani. Poleni sana Machali na Mkosamali.
huna akiri timamu ya lusinde yamefikaje hapa?
Mbona magufuli kapata 25% lakini NEC wamempa 58%,kuzidiwa kura ni uratibu tu wa NEC wakiamua uzidi hata kwa elfu 50 inawezekana au haujaona mbagala cuf wamezidiwa kura karibu elfu 70.
Mbona magufuli kapata 25% lakini NEC wamempa 58%,kuzidiwa kura ni uratibu tu wa NEC wakiamua uzidi hata kwa elfu 50 inawezekana au haujaona mbagala cuf wamezidiwa kura karibu elfu 70.
zitto ni sawa na wabunge 34 wa chadema. mpumbavu na lofa ndo atabisha. maana malofa chagadema kwa ubishi.
Moshi Mjini mgombea wa CHADEMA alimzidi WA CCM kwa kura 30,000 lakini matokeo yalichukua siku mbili kutangazwa tena mbele ya mitutu ya bunduki na magari ya kuwasha.
Mgombea wao hakuvuka kura 0.01 nalo tukumbyke ila amejitahidi toka 0.001
cdm hahahahaaaaa mmeaibika sana ayaaaaa
Akili zako = 0
Pia tambua amewazid wagombea wengine zaidi ya kura elfu kumi na nne.
Matokeo yake hayakuwa na utata mana hayachakachuliki.
umechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. ndo maana wahenga walisema kuwa NUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. hongera.
Ina maana ccm walishindwa kutetea jimbo lao