hongera Zitto kwa msimamo


Mjinga ni wewe usiyejijua kwa kunukuu nyimbo /taarabu na avatar! jitambue na ujadili hoja! buku saba umepewa pale lumumba?
 
Kwa kuwa zirro kabwe anashabikiwa sana na hawa mamluki wa upande wa wawinnda tembo
na kwa kuwa zirro kabwe anapendwa sana na kupewa joto na wanalumumba
na kwa kuwa mikutano yake na waandishi wa habari iliratibiwa na walewale wanamtanndao wa uhujumu
na kwa kuwa sasa imeonesha wazi kuwa zirro hawezi kutamka hadharani kuhusu malipo ya ngorongoro conservation na arusha hotel yenye vielelezo kwenye mtandao
na kwa kuwa fedha aliyopokea kutoka nmb house kutoka kwenye ile akaunti iliyokuwa inatumwa kwa andrea cordes madola 250,000 mara kibao na zile mashilingi mamilioni 260 kwenye briefcase safi kutoka crdb
na kwa kuwa wennzake hasa kitila mkumbo amekubali kwa niaba ya zirro kuasi chama

leo hii kabla ya wengine wote namfukuza uanachama na namuamuru aendelee kuhudhuria bunge kwa kuwa atatetewa na mahakama inayomkinngia ubunge wake kama kafulia na h. Rashid.
 
Ndani ya chdema Zitto pekee ndiye anaeonekana kuwa na akili kuweza kukisaidia chama hicho,waliobaki ni majanga hawana nia njema na chama wanataka kujinufaish matumbo yao tu!
!

Mtu pekee bila hata ushirikiano na watu wengine anaweza ongoza chama ndo akili yako ilipo ishia hapo. Ukiwa na mahaba na mtu weka na akili yako kidogo ikusaidie
 
Mmechelewa kupongeza kwani ukitaka kumwokoa ndege mwokoe akiwa bado anao uwezo wa kupaa vinginevyo msaada wako utakuwa bure,msingekimbilia kumpa pongezi kabla ya kumsaidia kuelezea pesa za hongo alipokea kwa kazi gani,alitumwa na nani kuwatukana viongozi wakuu,vikao vyake na TISS vililenga nini? n.k n.k

Mkimsaidia kujibu hayo kwa sahihi ndo mkampongeze otherwise he is just done,simply a filth figure.
 


Tatizo la kudandia hoja. Hizo tuhuma unazosema ZZK azijibu CHADEMA kupitia kwa JOhn Mnyika walizikanusha kuwa siyo za Chadema. Sasa amjibu nani? Pevuka Kisiasa acha mkumbo utapotea
 
Kabati lilishapinduliwa na mende! Imebaki historia.

sipendi baadhi ya yanayotokea kwenye chama changu na hawa jamaa walianza nivutia kama watu makini kabisa,kumbe kenge tu!ZZK ni kichwa cha kweli ila haya majamaa kwa tamaa zao na ubaguzi yamekomaa tu!ngoja aondoke 2015 izidi kuwa laini!
 
Kabati lilishapinduliwa na mende! Imebaki historia.
lara1 sikutarajia kama unakuwaga huku. nimekuzoea kule kwenye jukwaa la Mapenzi na Mahusiano. Anyway, ulikuwa unamaanisha nini hapo?
 


Duu ulikuwa umesafiri nini?
 
Mkuu kwa kiongozi kama ZITTO mm sishangai,jamaa ni kichwa sana na pia mzalendo wa ukweli,yeye anaumia sana chadema inapotetereka,ZITTO tangia akiwa na miaka 16 ameshiriki kukijenga chama tokea ngazi ya kijiji hadi taifa kwa moyo wa dhati kabisa,ametumia kila mbinu na rasilimali zake kuwavuta vijana ndani ya CDM lakini shukrani ya punda mateke,Leo anaitwa msaliti na masalia ya CCM!!wana CDM leo tunasahau juhudi za ZITTO kwa tuhuma za kutunga,hapana vijana tusikubali kutumiwa...hongera ZITTO kwa msimamo
 
Mjinga ni wewe usiyejijua kwa kunukuu nyimbo /taarabu na avatar! jitambue na ujadili hoja! buku saba umepewa pale lumumba?

Achana nao hao walioamua kuvipa likizo vichwa vyao na kuamua kuyakabidhi matumbo jukumu muhimu la kufikiria.
 
Nafikiri Mchukueni ninyi CCM kama mnadhani mtawezana, au muulizeni Mh.Werema alivyo mwona mzigo aksema Zito ni Mzito.Yeye anaangalia fedha zaidi.
 
Baada ya kumsikia AG na Lukuvi, bado una msimamo huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…