Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Kafunga na yupi jamani maana hata huo uso hamkutuonesha. Au ni yule alimaliza faiza niinii?? Akatagagaa??
 
Mkuu haraka ya nini kutuma thread? Tulia kwanza. Angalia ulivyoandika! Au ndo mwendo kasi nini?
 
Kaa chini andika vizur na uandike vitu vieleweke!! Neno edit lifanye kaz yake!! Kaa unaamka vile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…