nakarosa
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 327
- 349
Labda nianze tu kwa pongezi nyingi kwa uyu kijana hakika amekuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya burudani hususani muziki,ni kwamba uyu jamaa juzkati alifungua television yake na sasa pia kufungua radio fm ,dah mpaka apa ni pongezi nyingi inabidi apewe kama kijana kwani ameinvesti seemu yamanufaa..nilichokipenda zaidi hasa kwenye upande wa radio station yake ni ngoma kali alafu zimepangiliwa imagine tangu juzi sija tune station nyingne kwasababu ya ngoma kali..
Kitu kingine kizuri jamaa anaonekana sio mchoyo wa maendeleo kwani namuona na naziona juhudi zake kuibua vipaji ..hakika uyu jamaa ni nuru ya muziki Tanzania...wasafi radio 88.9
Kitu kingine kizuri jamaa anaonekana sio mchoyo wa maendeleo kwani namuona na naziona juhudi zake kuibua vipaji ..hakika uyu jamaa ni nuru ya muziki Tanzania...wasafi radio 88.9