Namasangya
Member
- Jul 28, 2014
- 43
- 14
Ni kijana mpuuzi huyu ganja roller.
Makalio yake, ndo huyu mtu kakalisha kalio eti nimfundishe afaulu mxyuuuu bora nkauze madiraCC; geniveros, Madame B, Evelyn Salt, Zamda Geuka.
Akiwashinda niiteni naenda kufuata kigoma cha msuto....
Nawapongeza sana wizara ya elimu kusitisha kutoa mafunzo ya certificate ya ualimu kwenye vyuo vyake kuanzia mwakani.Hii ina maana kuwa watakuwa wakitoa mafunzo ya kuanzia Diploma ya ualimu.Hivyo kuondoa uwezekano wa wale waliofeli kidato cha nne kujiunga na ualimu kwa kuwa mtu ili ajiunge na diploma inabidi awe kafaulu vizuri kidato cha nne.Hivyo ina maana kuwa kiwango cha chini cha elimu cha mwalimu wa msingi itakuwa ni diploma na sio certificate.Itasaidia kupandisha kiwango cha ufundishaji.
Pia ni tahadhari kwa walimu wenye certificate kuwa wajisomee wawe na diploma maana muda si mrefu watajikuta tu-certificate twao twa ualimu hatuna mbele wala nyuma.
ww ganja yako unachanganya na mavi mwl kamfundisha hd baba ako hujui ww ----
Tumsamehe basi. data amenambia kuwa huyu ana mtindio wa ubongo...
Hapa nafanya juhudi za kumtafutia mwalimu wa special need...