Sasa wewe hii nchi hadi imefika hapa maslahi ya Nchi yalikuwa hayalindwi? Si mngekuwa kama Somalia nk?Lakini lazima maslahi ya nchi yazingaitiwe na siyo gasi inauzwa trillion 100 harafu Tanzania inaambulia trillion 3
Haswaa na gesi ya kupikia kwa bei nafuu. Akiweza hayo kwangu Mimi ni kiongozi mzuriTunataka mambo mawili;
1. Umeme wa uhakika.
2. Gharama nafuu.
Hayo mengine mimi sijui.
Exactly mkuu, gesi ya kupikia iwe ya uhakika na nafuu, umeme uwe was uhakika na nafuu, mimi kama mwananchi wa kawaida na mlipa kodi nitataka hayo tu.Haswaa na gesi ya kupikia kwa bei nafuu. Akiweza hayo kwangu Mimi ni kiongozi mzuri
Ushahidi mkuu ndo tatizo kila mumoja wetu anaongea yakwake,mikataba ya awamu ya nne kuhusu gas ingelipelekwa hata bungeni tu kujadiliwa ningelikuelewa,hata yq awamu ya tano nazinazokuja,kama hazitakuwa zinapelekwa bungeni utapeli hautaisha,maana serikali kuu wanajifungia ndani na kuja na maamuzi yawe wrong au ok. Transparent,kusema rais wa mwisho wa maskini wakati umeforce gas itoke Mtwara mpaka Dar,kwa ahadi kedekede.Kati ya maeneo ambayo marehemu Magufuli alifeli kupindukia ni kwenye gas. Wananchi wangejua makosa ambayo marehemu alifanya kwenye gas, hakika sijui kama wangeweza kuipata adhabu ambayo ingemstahili Magufuli.
Huu upuuzii wa kodi zote za kipuuzi, visingekuwepo. Ingewezekana kabisa kufuta kodi karibia zote, na bajeti ya serikali ikagharamiwa na gas kama ilivyo kwa Dubai, Qatar na Brunei ambazo bajeti za nchi zao zinaedeshwa kwa mapato ya gas na maafuta.
Kikwete alisema, alitarajia yeye kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania maskini. Muhongo alisema, tunaongeleaTanzania ya uchumi wa gas.
Mapato ambayo yamgepatikana kwenye gas, ukilinganisha na dhahabu, almasi na tanzanite, vyote hivyoi ukiweka pamoja ni peanut.
Magufuli alivyoona ameharibu, na ameshindwa kuwarudisha wawekezaji kwenye sekta ya gas, akaanza kuongea uwongo kuwadanganya wasio na akili eti gas yetu imeuzwa China!! Rais anaongea upuuzi kama huo, na wajinga wanamwamini!
Kwanza hakuna kampuni hata moja ya China iliyokuwa ama inafanya utafiti au kuchimba gas.