Hongera Wah Madiwani wa Arusha

Hongera Wah Madiwani wa Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Natoa pongezi za dhati kwa madiwani wa Arusha jiji kwa kukataa hila chafu za mfanyabiashara Masawe alietaka abadiliahiwe kiwanja cha kilombero apewe kaloleni azimio.Kama jiji wangefanya hivo ingepata hasara ya 6bil nilipata kuleta habari hizo hapa wengi wakapuuza ila this time madiwani wamesisimama imara na bold.Kikao cha jana cha full councill kimeamua kuwa uwanja wenye mgogoro wa Kilombero ubaki kwa huyo huyo Emorli Masawe licha ya ukiukwaji mkubwa wakati wa inunuzi
Hongereni sana
 
Mwizi anyanganye tu hata kama kunaleta hasara, ili kutopromote wizi wa aina hiyo na mwinginge wowote, wahusika walipe hasara inayofikiriwa au waozee jelaaaaaa
 
Nakumbuka hili swala lakumuzia kile kiwanjwa cha kilimbero kilikiuka mambo mengi sana kwenye ununuzi na yalifanywa na madiwani wa wakaki huo Wakiongozwa na Mussa Mkanga.. chadema kimeleta maendeleo Arusha na Tanzania kwa ujumla wake
 
Mimi nina shida na hii kampuni isiyo na usajili wa Brela na haina hata ofisi hapa mjini ya Jacob Associate Ltd inahusika na ukamataji wa magari yaliyopaki vibaya hapa jijini Arusha!
 
Hongera madiwani wa CHADEMA. Endeleeni kutenda haki, maccm yanaendeleza dhuluma na uzushi,

Mji umeongeza mapato ya ndani ni mipango yenu hiyo, big up sana.

Ikiwezekana sasa kama hati ya ununuzi ina utata warudishe kiwanja hicho soon.

Pia ni vema wanainchi waambiwe kinachoendelea. Ars tupo nyuma yenu.

Kamanda Lema na madiwani wako Mungu atawavusha salama 3015
 
Back
Top Bottom