Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,309
Reaction score
5,244
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.


GM
 
Wewe ni shetani mkubwa sana na una laana ya kuzimu!
 
vijana wazalendo mmeshindwa kudhibiti kudukuliwa akaunti za taasisi zenu zinazoajiri machawa
 
Bungeni wanaanza kutaka kuleta kifaa cha mashoga wa CCM ambao ni Ccm.
Naoma mzee max tuanze na hapa kumbe mashoga wa CCm kama ulivyosema udukuwaji wa viswaswadu.
 
kama Taifa,
tunapaswa kuungana kwa pamoja kizalendo kushirikiana na jeshi imara sana la polisi, kuyakabili magaidi hasa kutoka Kenya ili wasiharibu umoja, amani, utulivu na ustawi wa Taifa letu.

Watashindana lakini hawatashinda πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…