Hongera utawala soko la Feri

Hongera utawala soko la Feri

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,341
Reaction score
4,572
Sis kama wadau wa mazingira na usafi kwa kweli tumepita kupata chakula hapo soko la samaki feri, upande huo wa kina mama lishe.

Kufika tu tunashangaa maji ya kunawa ya motooo, mhh ajabu? Hatujakaa vizur ugali umekuja moto mboga moto, ndio badae naona tangazo la utawala.

Nipende kutoa pongezi kwa utawala, hakika nyie mmefata falsafa ya vitendo ya Dr. Samia, usafi wa maeneo yenu, filamu ya royal tour imefungua nchi yetu, Feri hapo mnapata wageni wengi wa nje na ndani, wengine wanatamani kupata vyakula vya kiswahili.

Naona ni wakati sasa maeneo mengine kuiga mfano huu na kuwawekea utaratibu mzuri wanaouza chakula maeneo yenu kiutawala.

Wale wauza kuku Shekilango pale wafue zile koti zao nyeupe.

20230601_150636.jpg
 
Hii imeandikwa na mtu ambaye hayupo timamu kichwani
 
Back
Top Bottom