Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,163
Hongera mama kwa kuficha takwimu za corona hadi sasa hatujui watz wangapi wameambukizwa na wangapi wamefariki kwa corona. Pia hongerza Ummy kwa kuzika wahanga wa corona usiku wa manane.Binafs bila kuwa na kinyongo Kati ya mawazir niliotokea kuwakubali utendaji Kaz wao huyu mh ummy mwalimu anafaa kuendelea kuwa wazir hasa wizara hyo aliyekuwa anaiongoza.
Mh ummy mwl hakuteteleka katika kuelimisha kuhusa afya hasa katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
Nataman siku moja kumuona akiwa wazir mkuu au speaker wa bunge!
Hongera Sana ummy mwalimu ulichapa kazi bila kutugawa WATANZANIA.
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu!
Hongera mama kwa kuficha takwimu za corona hadi sasa hatujui watz wangapi wameambukizwa na wangapi wamefariki kwa corona. Pia hongerza Ummy kwa kuzika wahanga wa corona usiku wa manane.
Jiulize kwa lipi? Manake nyie watz hamfikirii vizuri.hakuna namna lazima tumpe tu hongera
Mwenzie yupo wapi walie anza naye, halafu yeye mwenyewe yupo chini ya hawez zitoa takwimu bila the bossJiulize kwa lipi? Manake nyie watz hamfikirii vizuri.
Amefanya nini? WE opted for serendipity, is the hongera kwa kufanya mengi? Yapi?Binafsi bila kuwa na kinyongo kati ya Mawaziri niliotokea kuwakubali utendaji kazi wao huyu Ummy Mwalimu anafaa kuendelea kuwa Waziri hasa wizara hyo aliyekuwa anaiongoza.
Ummy Mwalimu hakutetereka katika kuelimisha kuhusa afya hasa katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
Nataman siku moja kumuona akiwa Waziri Mkuu au Spika wa Bunge!
Hongera Sana Ummy Mwalimu ulichapa kazi bila kutugawa watanzania
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu!
Amefanya nini? WE opted for serendipity, is the hongera kwa kufanya mengi? Yapi?
Hatujaongelea kusema na CV...Mh, basi kwaheri!Kipaji cha kuongea anacho ,ni mwanamke ngangari na cv si haba.