Hongera Ummy Mwalimu kwa utendaji wako uliotukuka

Kichochoro

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,135
1,163
Binafsi bila kuwa na kinyongo kati ya Mawaziri niliotokea kuwakubali utendaji kazi wao huyu Ummy Mwalimu anafaa kuendelea kuwa Waziri hasa wizara hyo aliyekuwa anaiongoza.

Ummy Mwalimu hakutetereka katika kuelimisha kuhusa afya hasa katika kupambana na ugonjwa wa Corona.

Nataman siku moja kumuona akiwa Waziri Mkuu au Spika wa Bunge!

Hongera Sana Ummy Mwalimu ulichapa kazi bila kutugawa watanzania

Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu!
 
Acheni hizo yaan kutoa press conference ndo mnampa sifa hizo hv kitu gani kikubwa amefanya mpaka asifiwe hivyo
 
Binafs bila kuwa na kinyongo Kati ya mawazir niliotokea kuwakubali utendaji Kaz wao huyu mh ummy mwalimu anafaa kuendelea kuwa wazir hasa wizara hyo aliyekuwa anaiongoza.

Mh ummy mwl hakuteteleka katika kuelimisha kuhusa afya hasa katika kupambana na ugonjwa wa Corona.

Nataman siku moja kumuona akiwa wazir mkuu au speaker wa bunge!
Hongera Sana ummy mwalimu ulichapa kazi bila kutugawa WATANZANIA.
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu!
Hongera mama kwa kuficha takwimu za corona hadi sasa hatujui watz wangapi wameambukizwa na wangapi wamefariki kwa corona. Pia hongerza Ummy kwa kuzika wahanga wa corona usiku wa manane.
 
Hongera zake, Magu kasema alikuwa anamsumbua sana kwa simu za saa tisa usiku.

Anastahili pongezi kwakweli.
 
Hongera mama kwa kuficha takwimu za corona hadi sasa hatujui watz wangapi wameambukizwa na wangapi wamefariki kwa corona. Pia hongerza Ummy kwa kuzika wahanga wa corona usiku wa manane.
hakuna namna lazima tumpe tu hongera
 
Her former Depute Dr. Ndugulile was the best sure I tell you. What happened was simply political accident as it happened to other ministers under this regime...
 
Kiki ya Corona siyo. Kwa vile alikubali kuendesha kwa remote sio.

Hamna kitu
 
Binafsi bila kuwa na kinyongo kati ya Mawaziri niliotokea kuwakubali utendaji kazi wao huyu Ummy Mwalimu anafaa kuendelea kuwa Waziri hasa wizara hyo aliyekuwa anaiongoza.

Ummy Mwalimu hakutetereka katika kuelimisha kuhusa afya hasa katika kupambana na ugonjwa wa Corona.

Nataman siku moja kumuona akiwa Waziri Mkuu au Spika wa Bunge!

Hongera Sana Ummy Mwalimu ulichapa kazi bila kutugawa watanzania

Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu!
Amefanya nini? WE opted for serendipity, is the hongera kwa kufanya mengi? Yapi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom