MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Na-comment tu: Si kawaida kuwapongeza hawa jamaa, leo asubuhi tulikuta foleni iko Baruti!! lakini ilituchukua dakika14 tu kuvuka mataa ya Ubungo - Trafiki na polisi wengine waliojizatiti vyema walikuwa wakikamata wanaotanua na kuwatwanga faini palepale - WALIKOMAJE?
Kumbe wakiamua inawezekana. Ukiwa na la kuongezea tupia hapa, usipunguze tafadhali - wamenikosha sana leo, hasa kwa tunaotii sheria. Hongera kamanda C. Wambura na wenzako!
Kumbe wakiamua inawezekana. Ukiwa na la kuongezea tupia hapa, usipunguze tafadhali - wamenikosha sana leo, hasa kwa tunaotii sheria. Hongera kamanda C. Wambura na wenzako!