Walikupiga bao?...sina cha kuwapongeza
Yap...Walikupiga bao?...
Zebra za wapi au Mtongani?? Kuna afande dada ana sura ngumuu, hana ombi zaidi ya kukuandikia chetiYap...
Nimesimama katika zebra.Mbele nasimamishwa eti watu walikuwa hawajamaliza kuvuka.Ni uonevu sana.
walaaniweZebra za wapi au Mtongani?? Kuna afande dada ana sura ngumuu, hana ombi zaidi ya kukuandikia cheti
Mm ni m1 wapo nilikua napitiaga njia ya chang'ombe ila kwa sasa Kilwa road sasa hiv raha sanaJinsi mnavyoongoza magari asubuhi kuanzia Mbagala mpaka Posta na jioni kutokea posta/Kariakoo kwa hakika mnastahili pongezi!Keep it up
Huyo mama nahisi ni yule anavaaga suruali na glass nyeusi kama ni huyo basi kila mtu anamlalamikiaZebra za wapi au Mtongani?? Kuna afande dada ana sura ngumuu, hana ombi zaidi ya kukuandikia cheti