Utaratibu uliyopo wa kufanya mitihani yaani ICAs,WPEs na FEs ni rafiki sana kwa wanaofanya supplimentary.Unaokoa pesa nyingi sana. Vinginevyo ingekuwa kwenda na kurudi kama wangetofautisha muda wa kufanya.Ingekuwa gharama kubwa sana. Kwa sasa mwanafunzi anayesupp anaweza kufanya ICA, WPE na FE ndani ya mwezi moja huohuo.Huu ni utaratibu FAIR sana kwa wanafunzi wanaosupp. HONGERA SANA kwa utawala wa chuo cha Law School of Tanzania. Tunaomba utaratibu huu ubaki kama ulivyo.