Hongera Taifa stars

Hongera Taifa stars

Nadir Haroub
Thomas Ulimwengu
Ndio waliofunga magoli yetu huko Harare na matokeo ya Mwisho ni goli 2 - 2
 
Wamejitahidi lakini timu yetu ni kama homa ya vipindi haitabiriki!pamoja na yote nawapongeza.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera timu ya taifa hapa ni wachezaji c mwalimu big up sana
 
Kama ni 2=2 ina maana cumulative ni 3=2 hivo taifa tunasonga mbele, hongereni rudisheni matumaini maana wengine mipira ya ulaya hatumo ila wa taifa tumo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom