Hongera South Sudan!

Hongera South Sudan!

_53957622_012412443-1.jpg



_53957693_012413078-1.jpg




_53958026_012413324-1.jpg



_53957930_012413482-1.jpg
 
Muda si mrefu South Sudan itakaa kuamua jina jipya la nchi yao.
Jee unapendekeza jina gani?.Mji mkuu uwe Juba au wapi?.Lugha ya taifa iwe kiarabu au Kiswahili
 
hiyo ndiyo ishapita hivyo na si ajabu tena kupata mwanachama mpya wa UN, AU nk, ...the quiz is who will be next???
 
teh teh tanganyika na lugha rasmi iwe Kiswahili. wanakijua kiswahili? isije ikawa sawa na kutangaza lugha rasmi Mwanza iwe Kizaramo
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Sudan Kusini kuanza kutumia sarafu mpya hivi karibuni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]Serikali ya Sudan Kusini imesema itaanza kutumia sarafu yake mpya katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Elijah Malok, Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo mpya amesema kuwa, sarafu ya nchi hiyo itakuwa pauni yenye picha ya John Garang, kiongozi wa harakati za kupigania uhuru wa Sudan Kusini. http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18717:hivi&catid=1:latest&Itemid=74
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom