Kupitia Tanzania strategic cities project miji ya Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga imependeza jamani tuache unafiki na watu wa Mbeya na Arusha hata bajeti ya kununua kiwi imepungua.
Yan wew umeingia Arusha na DAR EXPRESS ukalala ndani ya basi ndo unatoa comment eti bajeti za kiwi zmepungua, ungetembea kdogo ucngeandika hapa au vumbi kwako ni manukato?