Hongera sanaa Ndugu yangu Stan Bakora

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
dbe995a148bdd3e452c3d2fc588fb13c.jpg
c370eb7a7c2a99eba81adbd9bae32311.jpg
5874204260764d7876145949f5115945.jpg

Sasa umekuwa mkuu Maisha mema ya ndoa
 
Hivi waislamu nao wanavaa mashela ya kikristo? Ila napenda harusi za kiislamu hata ukiwa na 200,000 sherehe inafana, watu wanakula maandazi na chai tu
Hahahahahaha una utani mkuu ....umesahau visheti na bagia miksa vikachori ....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi waislamu nao wanavaa mashela ya kikristo? Ila napenda harusi za kiislamu hata ukiwa na 200,000 sherehe inafana, watu wanakula maandazi na chai tu

Kwani za kikristu Maandaz HAYAPITI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom