Ooyooo huu ni ujuha au uzuzu ni wapi na wapi sisi waswahili na mpira wa kizungu ni tafauti kabisa ni uchizi tu huu wetu wa kibongo unatushinda na kamasi zinatutoka na kila mwaka mabakora na mawe tunapigana na mpaka mahakamani tunafika kwa huu undondocha na ndio jamaa kanena miaka yote aliokaa hakuna cha maana alicho fanya zaidi ya kutoa mita na kuweka Luku hapo basi