Asante sana Maxence Melo na member wote wa jamii forums,JF imekua kama sehemu ya familia yangu,pamoja na kwamba kuna muda tunapishana hoja but JF imeendelea kua muhimu sana kwangu pamoja na member wote humu.
Wekeni utaratibu tufanyie wapi shukrani napongezi kwahyu MTU ,iwe lini ,kikubwa tujipange mana wakijua tutasombwa wote ili tukatajane kwa also known as ...hahahaaa

Awamu hii si ya Roho Mbaya kama mliyoizoea bali ni Awamu ya Mtu ( Kiongozi ) mwenye Utu, Hekima, Busara, Ustaarabu na Hofu ya Mungu hivyo hakuna baya lolote atakalofanyiwa JF Founder Maxence Melo wala Sisi JF Members.

Umesahau malkia mwenye sauti pangoni lazima utoke ,baba yetu hakukosea kumlea mama yetu ,anakuambia wanaume hawana shida wakitoka kutembeatembea akirudi analala hanashida....Mwaka huu melo tusimwache tumpe zawadi ya PARTy kubwa
Asante sana Comrade ( Kamarada ) Interest nami pia nimefurahi Kukuona hapa na naamini Salamu zangu kwa Kamarada ( Comrade ) Mwenzetu wa Kinyankole umezipata kwani huwa nawasiliana nae mno na Kukuulizia sana.