Kwanini apigwe ban??Utapigwa Ban
Just jokinKwanini apigwe ban??
Pointifike mahala sasa ama Serikali imtambue Mtani wangu wa Kihaya @Maxence Melo kwa kumpa Tuzo ya Juu ya Heshima au basi Sisi Members wa JamiiForums tumfanyie Jambo jema na la Kutukuka kabisa kwa Ubunifu wake huu ambao una Tija kubwa kwa Ustawi na Maendeleo ya Taifa la Tanzania na Sisi Watanzania pia.
Genta, upo kaka?
Asante sana Comrade ( Kamarada ) Interest nami pia nimefurahi Kukuona hapa na naamini Salamu zangu kwa Kamarada ( Comrade ) Mwenzetu wa Kinyankole ( Kimbulu ) umezipata kwani huwa nawasiliana nae mno na Kukuulizia sana.Genta, upo kaka?
Umetiririka na kuserereka vyema kama D-Kimoko alivyokuwa akizisurubu nyuzi katika kile kibao cha Bolingo fulani nimeisahau jina.
Mengine uliyosema ni sawa. Nimefurahi "kukuona" hapa.
Hakika kabisa Mkuu. Jamaa atunukiwe.Maxence Mubyazi Melo anastahili heshima iliyotukuka kutoka kwetu sisi wengine tuliokesha nae miaka yote ya Jiwe bila kuteteleka na kuwa hai Mpaka hivi leo, tunamshukuru sana kwa professiolism yake!! Ama sivyo kwa jinsi tulivyokuwa tunawindwa, he could have easily sold us for thirty pieces of silver BUT he resisted to the end inspite of all the hardships he had to endure! Bravo Mubyazi.
Huu ni ushahidi tosha kuwa JamiiForums ni chombo muhimu. Naunga mkono hoja: Founder wa jukwaa hili na kampuni yake wapewe tuzoBaada ya Kumaliza Kidato cha Sita sikuona tena haja ya kwenda Chuo Kikuu kupata sijui Degrees, Masters na Doctorates ambazo wengi wenu ( siyo Wote ) mnazikimbilia na bado haziwasaidii na hazijawasaidia kwa lolote lile lenye Tija Kwenu Binafsi na kwa nchi yetu hii ya Tanzania
Kujiunga Kwangu tu hapa JamiiForums na Maarifa makubwa niyapatayo, kuimarika Kwangu kwa Kujenga na Kukabili Changamoto za Kitaaluma na Kifikra najiona si tu nina Degree bali sasa nina PhD yangu kutoka JamiiForums University.
JamiiForums imeimarisha sana uwezo wangu wa Kufikiri na ndiyo maana mara kwa mara nimewahi kusema kuwa ifike mahala sasa ama Serikali imtambue Mtani wangu wa Kihaya Maxence Melo kwa kumpa Tuzo ya Juu ya Heshima au basi Sisi Members wa JamiiForums tumfanyie Jambo jema na la Kutukuka kabisa kwa Ubunifu wake huu ambao una Tija kubwa kwa Ustawi na Maendeleo ya Taifa la Tanzania na Sisi Watanzania pia.
Naamini Serikali ya sasa ya Rais Mstaarabu na Muungwana asiye na Chuki ( Kisununu ) wala Kisasi, Ubabe na Ukatili ( Roho Mbaya ) Mama Samia Suluhu Hassan ( ambaye bahati nzuri nae ni Mwenzetu hapa na huwa tunakesha nae 24/7 ) ataliona hili na Kumtunuku huyu ' IT Guru ' Maxence Melo na Kampuni yake nzima bila kuwasahau na Wafanyakazi ( Watendaji ) wake wote kwa Kazi kubwa, ngumu na sometimes ya Hatari wanayoifanya.
Nitashukuru na Kufurahi hili likifanyika.Huu ni ushahidi tosha kuwa JamiiForums ni chombo muhimu. Naunga mkono hoja: Founder wa jukwaa hili na kampuni yake wapewe tuzo
Mkuu Gentamycine habari za siku nyingi kiongozi wangu [emoji120]Nitashukuru na Kufurahi hili likifanyika.