Kwahiyo?
Big up ITV....nilishangaaa sana jana KITUO kimoja hivi kikubwa sana cha habari, eti wameweka maigizo wakati watu wako bize na kupata taarifa za matukio ya uchaguzi unaendaje na ulikuwaje katika maeneo Mengine.... duh... ITV salute.....
Vipi afande sele?
Ongera nipen ya kwetu minaz mirefu