Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi zangu za dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu kwa huyu mwanamke jasiri Halima Mdee kwa jinsi ambayo ameweza kupigania haki yake ambayo ilishapokwa.
Jamani ni ngumu sana kuwa mbunge hasa ukitokea kambi ya upinzani hapa Tanzania tena ukiwa mwanamke!!
Wote wataitwa wabunge ila wengine wamefika kwa kupitia mazingira magumu sana kwa kweli.
Wanachakachua mno jamani duuu!
Halima Mdee wewe hunijui lakini nasema wewe ni IRON LADY unayejali wanzania woooote na Mungu akubariki sana.
Hivi bunge linawezekanaje bila Mdee?
Yeye ni Asset hata kwa sisi tusio na chama kabisa!