MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kamanda wa ukweli sitaki kuyasema mengi juu yako kwa vile wengine tunakujua tokea tukiwa sekondari, we ni mwanaharakati tangu ukiwa mdogo sana na hakuna anayeweza kupinga hilo!
CV yako imeshatundikwa haina haja ya kuongeza neno, Kwa wasiokujua hasa upande wa pile wajiandae tu, Mimi naweza kusema wewe unaweza kua zaidi ya Dr Slaa pamoja wako mwingi kukutumia kwenye masuala ya kijamii.Watu waliohitajika ndani ya Chadema ni wa aina yako na sasa wasiokufahamu wajiandae kwa mchakamchaka maana hata hakuna anayeujua mlengo wako hasa kisiasa zaidi ya wengine tuliokua karibu nawe tokea utotoni.
Tunakuomba ujasiri wako, ushupavu wako,misimamo yako uliyodumu nayo itujengee chama imara. Wewe ni jembe na hakuna wa kupinga hilo.