kijana, hii ni mada pana sana, ona kwajinsi ambavyo nimejiepusha kuongelea kozi zingine. huko sidhani kama kuna matatizo, unless wadau wa huko wange lalamika.BASI HATA WANAO SOMEA UDOCTOR NA UENGINEER WASIPEWE MKOPO ILI WATAO SOMA HIZO COURSES WAWE NI WENYE NIA YA DHATI. UMECHEMSHA KUFIKIRIA, UNGE SEMA WALIO FAULU KWA KIWANGO CHA Juu NA KUOMBA ICT NDO WANGE PEWA MKOPO KIDOGO UNGEKUBALIKA.
binafsi nimefarijika sana na maamuzi ya hawa mabwana wakubwa, katika hili la kuto kutoa mikopo katika kozi za ICT (Computer science, IT, INFORMATION SYSTEMS, etc.)
sasa naamini tutapata wataalam mahiri na makini, na si wababaishaji kama ambavyo imezoeleka. yaani, wasomaji wa hizo kozi kwa sasa, watakuwa ni wale tu wenye nia ya dhati hasa, BRAVO magamba
namaanisha kuanzia sasa hakutakuwa na wadandia fani, eti kwa sababu ya mkopo tu
acha ujinga JIMBI unafikiri watakao lipa ada ni wanafunzi au baba zao????unasikitisha sana kakadogo mimi sina cha kukosoa hapo, we nenda tu kwenye ualimu, tunahitaji watu wenye nia ya dhati na uchungu wa kweli, ili waweze kuleta mabadiliko katika hii sekta ambayo umuhimu wake unaanza kuonekana. acha uzembe dogo, yaani unafurahi kuona hata projects ndogondogo zinafanywa na raia wa kigeni?
besides, mimi ni mdau mkuu mno wa ict, na hawa vijana wamekuwa wakiniangusha mno, thanks God to certifications, atleast ukimpata aliyepitia huko kidogo mnapiga mzigo.
kijana, hii ni mada pana sana, ona kwajinsi ambavyo nimejiepusha kuongelea kozi zingine. huko sidhani kama kuna matatizo, unless wadau wa huko wange lalamika.
mimi nime-base kwenye ict tu, hasa kwavile mimi ni mdau, tena mkubwa hasa, lakini pia, shughuli zangu zimekuwa zikiharibiwa na hawa vijana. yaani, kwa mfano una ajiri mtu wa ku-develop database, ukimpa kazi afanye na kumuachia nafasi, mwenzako anakuja na cd yake aliyoi-ban huko chuoni kwao na kui-paste tu hapo! unatarajia ubora hapo? wewe kunguru nini?
kijana, hii ni mada pana sana, ona kwajinsi ambavyo nimejiepusha kuongelea kozi zingine. huko sidhani kama kuna matatizo, unless wadau wa huko wange lalamika.
mimi nime-base kwenye ict tu, hasa kwavile mimi ni mdau, tena mkubwa hasa, lakini pia, shughuli zangu zimekuwa zikiharibiwa na hawa vijana. yaani, kwa mfano una ajiri mtu wa ku-develop database, ukimpa kazi afanye na kumuachia nafasi, mwenzako anakuja na cd yake aliyoi-ban huko chuoni kwao na kui-paste tu hapo! unatarajia ubora hapo? wewe kunguru nini?
nia ya dhati waliionesha tangu walipochagua masomo huko a-level, ambayo yamewawezesha kuchukua hizo kozi. we nenda ualimu tu bana, mbona mbishi kijana?Nadhani upeo wako wa kuelewa mi mdogo sana....na hizo fani nyingine wanaosoma wana nia ya dhati au????
kijana, mimi siyo kwamba sitaki mje huku kwenye fani, ambacho napingana nacho ni hawa wataalam uchwara, wanatuaribia kazi na heshima ya "profeshino", sawa sawa?Mungu aliyekupa wewe unachoringia ndo kawanyima wenzio na kuchukua chake na kukufunga mdomo haitokuwa ngumu pia,ombea maendeleo kwa wenzio ndo na wewe utaendelea,unaogopa ushindani yani wewe utaishia kufa maskini wa kutupwa,huwezi jua atayekufaa baadae,kuwa na fikra pevu au wewe ni agent wa heslb umetumwa unakamilisha kazi yako?
huko kwenye ualimu ndiko kunako kufaa dogo. we kahangaike na madesa tu basi, hauitajiki umakini wowote uleNina mashaka ni akili yako, kama huna matatizo ya akili basi utakua umerogwa.
Hujaongelea kozi nyingine wakati umeitaja fani ya kuwaproduce wasomi (education)?
Tumia akili yako vizuri.
dogo tatizo nini yarabi? umesikia mimi ndio nagawa mikopo hapa, eeh? kuna vijana wamepiga certificate, na wengine diploma tu, wanakupigia kazi za ict hadi unaduwaa mwenyewe. ninyi wengine imetosha sasa, nendeni na huko (ualimu), mkaendeleze ubabaishaji wenuUNA HAKI YA KUNIITA KUNGURU KWASABABU NDO UPEO WAKO UNAKOKUPELEKEA HUKO, SUALA LA M2 KUSHINDWA TASKS NI KUTOKANA NA MSINGI WA ELIMU ALIYO PEWA SIDHANI KAMA GRADUATE ALIE FUNDISHWA VIZURI NA KUFAULU KWA KIWANGO KIZURI ANAWEZA SHINDWA KAZI, KAMA TATIZO LIPO BASI LIELEKEZWE KWA WAFUNDISHAJI KUA HAWAFUNDISHI ILI KUTOA WAHITIMU COMPITENT, kajipange tena
dogo,siyo lazima upige bachela kama hauna huo uwezo. kumbuka nimesema penye nia pana njia, unaweza ukatumia "kona ya meli" tu, yaani ukaanzia huko kwenye hizo certificate/ diploma, kama kweli una hiyo nia ya dhati, and then, baadae ukajivuta hadi kwenye hiyo bachela unayoiota. tatizo lenu vijana mna kausemi sikuhizi, eti mnaenda "kuchukua degree" vyuoni. ninyi ndiyo mnatuharibia kazi zetu na majina ya kampuni zetu. acha "ungese" dogoacha ujinga JIMBI unafikiri watakao lipa ada ni wanafunzi au baba zao????unasikitisha sana kaka
we una lako jambo....hata kwenye fani nyingine wako wanaombwela sana tu sio ict peke yake.tafuta njia nyingine ya kusolve hilo sio kutesa watanzania....nina wasiwasi una certificate ya pc maintanance ss unaogopa bachelor degree zimekuwa nyingi zinatishia uhai wako kazini
kijana, mimi siyo kwamba sitaki mje huku kwenye fani, ambacho napingana nacho ni hawa wataalam uchwara, wanatuaribia kazi na heshima ya "profeshino", sawa sawa?
dogo tatizo nini yarabi? Umesikia mimi ndio nagawa mikopo hapa, eeh? Kuna vijana wamepiga certificate, na wengine diploma tu, wanakupigia kazi za ict hadi unaduwaa mwenyewe. Ninyi wengine imetosha sasa, nendeni na huko (ualimu), mkaendeleze ubabaishaji wenu
binafsi nimefarijika sana na maamuzi ya hawa mabwana wakubwa, katika hili la kuto kutoa mikopo katika kozi za ict (computer science, it, information systems, etc.)
sasa naamini tutapata wataalam mahiri na makini, na si wababaishaji kama ambavyo imezoeleka. Yaani, wasomaji wa hizo kozi kwa sasa, watakuwa ni wale tu wenye nia ya dhati hasa, bravo magamba
namaanisha kuanzia sasa hakutakuwa na wadandia fani, eti kwa sababu ya mkopo tu
hahaha, dogo, mimi nimesoma kitambo sana, na kupata elimu ya uhakika, enzi zile mayunga nkunya(prof) alipokuwa chief academic officer. vile vile nina certifications za kumwaga katika hii fani, ndio sababu sitaki vilaza huku. acha ukameruni dogowe jamaa ni moja wa wahitimu waliomaliza na kajipiei ka 2.huna ajira na mpo wengi kitaa so unaona kuwa wenzio wakinyimwa mkopo output itapungua kitaa ili upate ajira acha kuwa mbinafsi ndugu umesahau hata ile laptop yako umenunua kupitia BOOM