fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,609
- 7,169
Azam Tv kwa sasa ina operate kupitia satellite tv kwenye nchi 7 zifuatazo:
1.Tanzania
2.Kenya
3.Uganda
4.Zimbabwe
5.Rwanda
6.Malawi
7.Sierra Leone
Ila kwa kupitia Azam Max wanaiona dunia nzima.Hongera sana kwani wanaitangaza Tanzania vizuri sana
1.Tanzania
2.Kenya
3.Uganda
4.Zimbabwe
5.Rwanda
6.Malawi
7.Sierra Leone
Ila kwa kupitia Azam Max wanaiona dunia nzima.Hongera sana kwani wanaitangaza Tanzania vizuri sana