Hongera Richie Richie lakini?

Hujui ukuu wa wilaya bado magu hajateua. Kuna wilaya ziko wazi mfano siha ya Antony mataka Na kino ya makonda hao wamepandishwa vyeo so wilaya ziko waziiii. Hao ni wawili niwajuao pengine Kuna wengine.
Labda hivo nitakuelewa
 
Duh!sio kila mwenye koti jeupe ni daktari wengine wakata nyama buchani.
 
Hilo swali lako juu ya rangi ya shati lake...mmmh
 
Jamani hata suruali nyeusi nayo haiendani na hilo shati? Ukiniambia ukuu ea wilaya sawa
 
Acha wivu kila mtu ana mfumo wake wa maisha, kila mtu ana utashi wake...kila mtu anachaguo lake. utakuwa ni ujinga sana kama utakuwa unampangia mtu mzima nini afanye au nini apendelee ni upuuzi
 
Kuna huyu madam mwingine huku nyuma amejaaliwa
 
Acha wivu kila mtu ana mfumo wake wa maisha, kila mtu ana utashi wake...kila mtu anachaguo lake. utakuwa ni ujinga sana kama utakuwa unampangia mtu mzima nini afanye au nini apendelee ni upuuzi
huo sio mfumo ni ushamba au kujipedekeza
 
hivi huyu kweli eti ni kweli alikuwa mjamnene?ngachookaa kapsaa mleu
 
Kuna huyu madam mwingine huku nyuma amejaaliwa
Mzigo anao na juzi tu alikuwa mjamzito wakati akiwania Ubunge Singida hapo sijui nani kamuita kwa Makamu wa Rais tukisema wanalenga ukuu wa Wilaya watu wanakuja juu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…