Kama ni hivyo tafsiri yake ni dhaifu ndio maana wanamfanyia hivyo pia wala hana huo uzuri, hizi kodi yeye pia kakubaliana nazo na uliona jana kule morogoro akizitetea.Rais ni mzuri ila CCM Ni mbaya Sana, inamfanya aonekane hajui alifanyalo, inamtukanisha. Mafuta yaendayo Zambia, yanapita kwenye bandari yetu, na yanapita kwenye ardhi yetu, tunawakamua Kodi..
Pole!Msema kweli mpenzi wa Mungu, tunakopelekwa sijui ni wap.
Alikuwa hamtetei Samia, alikuwa akiitetea CCM. Mwema hatetetwi, ila mwovu hutafuta watetezi. CCM Chanzo Cha MatatizoKama ni hivyo tafsiri yake ni dhaifu ndio maana wanamfanyia hivyo pia wala hana huo uzuri, hizi kodi yeye pia kakubaliana nazo na uliona jana kule morogoro akizitetea
unaingia mtego wa hao chawa.
Kamfumo ka ccm ni hatari sanaRais ni mzuri ila CCM Ni mbaya Sana, inamfanya aonekane hajui alifanyalo, inamtukanisha. Mafuta yaendayo Zambia, yanapita kwenye bandari yetu, na yanapita kwenye ardhi yetu, tunawakamua Kodi..
Kama ingekua tiba tungeshapoa, hapa tumepotea mkuuPole!
Yeye sasa hivi ndio mwenyekiti, na CCM wote hufuata utashi na kauli ya mwenyekiti wao.Alikuwa hamtetei Samia, alikuwa akiitetea CCM. Mwema hatetetwi, ila mwovu hutafuta watetezi. CCM Chanzo Cha Matatizo