Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Kama habari nilizonazo ni kweli,hongera sana Nape Nnauye. Kama umekubali kweli kwenda kwenye majadiliano/mdahalo uhusuo Rasimu ya Katiba mpya pale Serena Hotel,basi hongera sana. Nasema hivi kwakuwa naujua msimamo wa chama chenu.Msimamo wa kukimbia mara kwa mara midahalo/majadiliano ya moja kwa moja hasa wanapokuwepo wapinzani.
Jiandae vyema Nape Nnauye.Beba na vya kuweza kubeba ili ujenge hoja.Soma unavyoweza kusoma ili ukaonyeshe kinyume cha wananchi tunavyoamini kuwa nyinyi ni waoga wa midahalo kwakuwa hamjiamini na hamna 'kitu' cha maana kusema mbele ya watu.
Leo usikimbie tafadhali. Kila la kheri!

Last edited by a moderator: