Hongera mzee Bakhresaa, kijana Mohamed Dewji na mzee Mengi kwa Uzalendo

shikulaushinye

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
828
456
Watanzania wenzangu baada ya kutembelea mtandao wa Panama nimeona idadi ya wanaojiita watanzania zaidi ya 53 wote wakiwa ni wenye yenye asili ya ASIA, samahani wengine watasema ninaleta ubaguzi, lakini tuseme vipi wakati orodha ndiyo inaonyesha hivyo.

Kwa kifupi watu wenye asili ya Asia yaani asilimia kubwa wakiwa wahindi si watu wazuri kwa afya ya uchumi wetu, kwa kuwaachia kuwekeza kwa sababu hawafanyi biashara halali, mbaya zaidi hawafanyi uwekezaji ndani ya nchi zaidi ya kuwa wachuuzi na kufanya biashara za magendo na dili, Tanzania ni sehemu tu ya kuvuna na pesa hutoroshwa nje ya nchi hivyo kuangusha uchumi wa nchi. Sina uhakika kama serikali inapata hata kodi ya uhamishwaji wa hizo pesa nje ya nchi.

Wahindi si watu wazuri wanaweza kuangusha nchi, angalia wanavyosumbua kwenye sukari, wamepanga kuficha sukari sasa imepanda ili wapate faida kubwa. Ukienda kwenye ufisadi kama EPA wapo, ukienda ESCROW wapo, kila sehemu wapo. Kuna haja ya kuangalia uwekezaji wao hapa nchini kwaani si wazalendo. Nasikia wengi wao wana uraia wa nchi tatu yaani TANZANIA, INDIA na CANADA.

Kipekee watanzania hatuna budi kuwapongeza watanzania wazalendo kama mzee Said Salim Bakhresa, Kijana Mohamed Dewji na Mzee Mengi kwaani hawakupenda kuficha pesa zao nje. Wamewekeza hapa nchini na kutengeneza ajira pia kulipa kodi.

Kuna theory kwamba ukiona nchi ina wahindi wengi ujue black marketing ni kubwa. Yaani baishara za ujanja ujanja ni nyingi. Ndiyo maana Idd Amin aliwafukuza wahindi wote miaka ya 1970 watu hawakumwelewa kumbe alikuwa sahihi. Sisi tulikalia hewla si utumwa kumbe twaliwa. These people should go tuanze upya, serikalai iwawezeshe watanzania waweze kuwekeza kwenye viwanda na kushika hizi biashara muhimu kama sukari.

Kwa uzoefu huu serikali isijidanganye kubinafsisha shirika la umeme nchi itakwenda na maji.

Aksanteni na poleni kwa machungu.
 
yaani pale nifahamu mtu mmoja tu Rostam Aziz wengine majina yao magumuuuuuuu kama mwamba wala sijawahi kuyasikia
 
wa asia wenyi janja janja sana
 
Ni vyema Rais wetu akajitahidi kumilikisha watanzania wazalendo uchumi wa Taifa lao
 
Manji na nduguze, Mohamed Abood (Abood Bus).......

Hasnain Ahmed Hassanali

Mohamedraza Ahmed Hassanali

Ahmedirfan Mohamedraza Hassanali

MR. KASBIAN NURIEL CHIRICH

Mr. Azizi ROSTAM ............................................ staring

Nawshad Ahmed Hassanali

JORGE MARITINO

EDUARDO MARTINO

JORGE MARTINO

EDUARDO MARITINO

JACEK MONLNIK ROGOYSKI

BOULDER MINING LIMITED

MRS. SUKAINA MANJI

Talal Mohamed Abood

Abbas Mohammed Jessa

NARENDRA VAGHJIBHAI PATEL

Ms. Zuzana Kovacicova

Mr. Eric PASANISI

SAJJAD MOHAMEDHUSSEIN VIRANI

Mr. Eric PASANISI

Mr. Suril Shah

Suril V. Shah

Mr Kalpesh Menhta

Roberta Thomaz de Mattos Brisolla

NICHOLAS CHARLES WILSON

SEYDOU KANE

KONSEL JAMES WAMBURA

Abbas Mohamed Jessa

SUN MINING LIMITED

Abdulaziz Mohamed Abood

ABBAS MOHAMMED JESSA

Mohamed Panju Jessa

Abbas Mohamed Jessa

HARIDATT VAGHJIBHAI PATEL

Fauzi Mohamed Abood

B.A. KOTECHA

R.D. KOTECHA

MRS. SUKAINA MANJI

SUKAINA MANJI AND YUSUF MANJI AS TRUSTEES OF THE MANJI FAMILY TRUST

ANIL VAGHJIBHAI PATEL

Mrs Kantaben Manibhai Chhotabhai Patel

MRS. ROSMINA KANANI

MR. DANIEL LITTMAN

Mrs. Aarti Puri

Mr. Eric PASANISI

Mr. Azizi ROSTAM

Andre Schmid

KANIZ MEHBUB MANJI

Mr. Stuart Hugh MacDonald

Mr Rameshchandra Chotalal Somani
 
Hawa watu ni wajanja sana na ni wakwepaji wazuri wa kulipa kodi. Serikali itupie jicho pale JAMANA PRINTERS, ukienda ku print newspapers pale wanakuandika risiti lakini mwisho wa siku hurusiwi kuondoka nayo wanabaki nayo wenyewe. Utaishia tu kuitoa copy au kuipiga picha lakini original lazima wabaki nayo wenyewe.
 
NDO MAANA iDDI AMINI DADA ALIWAFUKUZA UGANDA, JAMAA NI MABINGWA WA KONAKONA NA HUJUMA KWA UCHUMI WA NCHI NA HASA NCHI ZA KIAFRIKA....
 
Ni vyema Rais wetu akajitahidi kumilikisha watanzania wazalendo uchumi wa Taifa lao

Hilo ndilo neni sahihi, ni hataree kwa usalama wa taifa, kwa sasa wanaweza kuangusha serikali kwa sababu kila nyanja kuu ya uchumi wameshika wao. Tatizo wanatorosha pesa nje hawafanyi uwekezaji zaidi ya kuiba, mfani MANJI na ROSTAM kila kashfa wamo. MANJI MLIMANI BUSINESS PARK yumo, kila eneo la viwanja yumo, EPA yumo, kokobeach yumo na nk.

Angalia Rostam alijipenyeza mpaka kamati kuu ya CCM akawafanikiwa kupata nafasi nyeti ya kuwa mweka hazina wa CCM enzi za JK, nafikiri ilikuwa ni baada ya kufanikisha uchaguzi kwa ku finance. mwaka jana nasikia alikuwa anatoa ufadhiri kote yaani CCM na CDM. kuna mabililni yalikamatwa kule DODOMA yakiwa na mhasibu wa kampuni ya MANJI. hawa watu ni hataree sana, JPM akae nao mbali.
 
Kosa sio lao kumbuka hao ni wafadhili wakubwa wa ccm mpaka wengine wananyadhifa kubwa ktk chama.
Watumishi na wanasiasa wanaiba kwa kutumia migongo ya hao wafanyabiashara.
Hata hayo makampuni mengine sio ya kwao wanasiasa wamewaweka kama chambo.
Kama ni kweli kuwa ni wezi lawama ni kwa serekali ambayo imewafuga
 
haya nyie makanjibai.. ondokeni hamtakiwi alaaa!!!

Walivyo na roho mbaya hawajengi nyumba bali wamepanga kwenye nyumba za shirika la nyumba, na hizo nyumba mtanzania mweusi huwezi pata hizo walizopanga kwaani hurishana akihama somji atamuuzia kanji na nk. wana chaina yao. Kuondoka ni ngumu, serikali iwanyime bibari vya kufanya biashara ya sukari na nk.
 
Kosa sio lao kumbuka hao ni wafadhili wakubwa wa ccm mpaka wengine wananyadhifa kubwa ktk chama.
Watumishi na wanasiasa wanaiba kwa kutumia migongo ya hao wafanyabiashara.
Hata hayo makampuni mengine sio ya kwao wanasiasa wamewaweka kama chambo.
Kama ni kweli kuwa ni wezi lawama ni kwa serekali ambayo imewafuga

Nakubaliana na wewe hayo makampuni kuna mikono ya wakubwa, haiwezekani ktk majina hayo akina nanihiii wakose.
 
Kama dola inakuwa makini hakuna ambaye anaweza kuchezea Mali za uma na kufanya wizi.
Naona mnashambulia bila kuangalia mzizi wa tatizo.
Tuseme tulikosea kama kweli wamethibitika na izo tuhuma na sasa tunaanza upya maanaa serekali zilizopita ndio zimetufikisha apa
 
Ukweli utabaki kwamba sisi watu was daraja la chini hatunufaiki nao kwa asilimia mia,,,,wenye mamlaka ndo wanakula nao ,,,,,Nakumbuka hata UK kuna mwaka waliwakagua wafanyabiashara wote wakihindi mitaji na mahali wanapoficha pesa,,,wengi waliondoka UK kwa kuhofia kuyumbishwa kiuchumi,,,Hawa jamaaa wapo corrupted na professionals wa black marketing,,,
 
Nlipo fika mjini kwa mara ya kwanza, kutoka kijijini, nlianza ku expirienzi kitu....

Kwamba kila magari ya kifahari nikiyaona naona ndani kina watu weupe tena wahindi!

Nlipochunguza sana nikakuta kwamba sehemu zenye majengo mazuriii zoote yangu mkoani hadi dar wanaokaa humo no watu weupe tena ni wahindi!

Nikawa najiuliza nchi hii vipi? Nikawa nazidi kuwaza kwamba kama vile uchumi wa S. Afrika ulivyoshikwa na wazungu wachache ndivyo na Tz uchumi wetu imeshikwa na hii mijamaa...

Mungu nisamehe,, lakini kiukweli tangu hapo sijawahi kumpenda mhindi au mwarabu.... Mungu anisamehe kwa chuki hii

Nikisikia mtu anasema nchi inaliwa na wachache ghafla huwa nayafikiria haya majamaa..

Huwa inaniuma zaidi kwa jinsi inavyoshobokewa na kupewa kipaumbele kwenye maofisi ya uma huku mzawa ukiangaliwa tu kma unanuka...

Inauma sana!
 
Sijui control ya serikali kwenye kutorosha fedha, sababu uwekezaji uchwara unapata faida kubwa, sababu za poor market regulations na umasikin wetu halafu wanabadili fedha hiyo kwenye forex zetu, wanainvest kwao. Kwa hiyo ni namna nyingine ya kuchukua dhahabu zetu, korosho zetu tulizouza nje, pamba nk. Just at the expense ya umaskin wetu kwamba hatuwezi ku organise suply and demand katika nchi yetu, mpaka wageni.
Wageni walipaswa kuwekeza kwenye vitu ambavyo hatuna uwezo navyo kabisa, ili hata kama wakichukua hiyo forex tuwe ni kama tunge import hiyo huduma. Lakin haiwezekan watu waunganishe unganishe vitu tulivyonavyo humu nchin halafu watuuzie sis hawa hawa, faida wanayoipata waibadilishe kwenye fedha za kigeni waondoke nayo huu ni wizi.
 
Back
Top Bottom