Uchaguzi 2020 Hongera mwanaJF Allen Kilewela kwa kushinda rufaa ya Udiwani Gangilonga

Utawala umejawa na dhuruma vinyongo Chuki Udikteta kusigina katiba na kila maasi.

Asante
Think tank.
Asante pentagon.
Mkuu, uafikili zile lufaa za mh Lisu zingelikubaliwa, hapa ungeandika hikihiki?

Ni mapingamizi Tu Yale kama aliyokuwa kayaweka Lisu Kwa Magufuli

Heko kwako Kilewela, nakutakia ushindi wa kishindo
 
Hongera sana Mkuu Kilewela, wewe ni mtu muhimu sana ktk kutetea maslahi ya wapigakura wako. Huu ni wakati muhimu sana kwa wewe kuaminika kufanikisha matamanio ya ndoto za maendeleo kwa wapigakura wako. Kila la heri Bro.
 
Back
Top Bottom