Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
Lissu akiwasilisa kitu ni zaidi ya kusoma, ingependeza kama ungemsikia live! jamaa kwanza anayo sauti ya kuiwasilisha mada, na kuvuta hadhara... nenda utube uone live1! Bravo kaka lissuSijaiona wala kuisikia,ningeomba niisome hapa,ili walau nipate cha kuchangia kuhusiana na kilichowasilishwa
..zitto je?hakika tundu lissu weledi,umakini,ujasiri,msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa chadema.nashauri chadema sasa lissu aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya chadema kwani uwezo,uzoefu na upeo wake ni mkubwa sana.pia umri wake na utanashati ni tiketi ya kupata kura uchaguzi ujao.hotuba yake bungeni leo hakika watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.mungu mbariki tundu lissu mzalendo wa tz.
nimeisoma tayari kaka,3310 yangu haionesh u tyubu,ila ni hadhira na si hadharaLissu akiwasilisa kitu ni zaidi ya kusoma, ingependeza kama ungemsikia live! jamaa kwanza anayo sauti ya kuiwasilisha mada, na kuvuta hadhara... nenda utube uone live1! Bravo kaka lissu
Niliifuatilia hotuba yake kifungu hadi kifungu kupitia radio Mambo FM, i was so much excited and i feel we have good people who can take this nation to the right destiny. God bless you Tundu Lissu, CHADEMA and All Tanzanians who love the reforms.
..zitto je?
Mengine yote umesema vema ila hapo kwenye redi, sikubaliani na wewe. bado DR Slaa ndiye raisi wetu 2015. kama wewe ni wa chama cha mabwepande usiupoteze muda wako bure hatudanganyiki.Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani UWEZO,UZOEFU na UPEO wake ni mkubwa sana.Pia UMRI wake na UTANASHATI ni tiketi ya kupata KURA uchaguzi ujao.HOTUBA yake bungeni leo hakika Watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.Mungu mbariki TUNDU LISSU MZALENDO wa Tz.