Hongera Mkuu TYTA....

Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba
 

super-hard

We mtu kiboko. U've made my day lol
 
Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba

Angeandika hii ya Jf mtaani wangeshindwa kusoma
 
Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba

wachoraji wetu maandishi uswahilini utawaweza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ