Hongera Mh. Rais Magufuli kwa kuwafunza kazi wapinzani

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,950
Wana jamvi
Salaam.
Utekelezaji wa kazi wa awamu ya tano Mh Rais amefanya baadhi wa viongozi wa upinzani kukosa hoja zenye mashiko hususani katika utekelezaji wa majukumu ya Kitaifa, utekelezaji huo ameutoa katika ilani ya chama chake anachokiongoza, aidha kasi hiyo ya aina yake imewaacha hoi mawaziri wakuu wastaafu waliopo upinzani kiasi cha kuanza tena propaganda upya.
 
Magu amekata kiu ya watanzania...hadi wapinzani wanakuja na vitu visivyoeleweka...Operesheni Kata Funua- haieleweki ni nini au lengo lake ni nini...kwaa ufupi, ni failed operation
 
Bainisha aliyoyafanya basis tujue

Kubana matumizi yasio ya azima, Kubaini na kuondoa wafanyakazi hewa, bombadier, mabarabara gheteghete, nidhamu wa watumishi maana ulikua ukienda ofisi z Umma huduma za kusuasua mara ufokewe na pia njoo kesho kibao
 
Kweli rangi mbili zinapofusha macho. Katika yote yaliyokuwa yametajwa hata asilimia 1 bado haijafanikiwa halafu unaongea hayo maneno
 
Magu amekata kiu ya watanzania...hadi wapinzani wanakuja na vitu visivyoeleweka...Operesheni Kata Funua- haieleweki ni nini au lengo lake ni nini...kwaa ufupi, ni failed operation
Unajua nini kimemtoa Nyoka (Polipoli) pangoni? Ni mambo kwenda scientific .
Hiyo ndiyo kata funua! Unapita unaleta Sera ya "katelero" watu wanakuja kukata na kufunua kwa Sera za "upendo na Maendeleo".
Unasema asiye na chakula "afwe" wao wanasema hata kama sio jukumu lao wataomba chakula "wapone".
Mwisho unajikuta unaropoka utatoa chakuka ghalani tani milioni kadhaa wakati ulichonacho hata laki moja hakifiki. Bado utasema utagawa keki nchi nzima na watu wataguna na kusema yalaa!
 
Wana jamvi
Salaam.
Utekelezaji wa kazi wa awamu ya tano Mh Rais amefanya baadhi wa viongozi wa upinzani kukosa hoja zenye mashiko hususani katika utekelezaji wa majukumu ya Kitaifa, utekelezaji huo ameutoa katika ilani ya chama chake anachokiongoza, aidha kasi hiyo ya aina yake imewaacha hoi mawaziri wakuu wastaafu waliopo upinzani kiasi cha kuanza tena propaganda upya.
Bukoba je?
 
Magu amekata kiu ya watanzania...hadi wapinzani wanakuja na vitu visivyoeleweka...Operesheni Kata Funua- haieleweki ni nini au lengo lake ni nini...kwaa ufupi, ni failed operation
Sema wewe Mtanzania siyo Watanzania kuwa specific. Wengine hatuoni anachofanya zaidi ya kuandama Wapinzani
 
BADO HAJAGUSA ANGA ZAKO, ENDELEA KUHOMOLA TU
SIKU AKIKUANGUKIA USIJE HAPA JAMII FORUMS UNALIA OOOO MAGU HIVI AU VILE.. ENDELEA KULA MAISHA MJOLI
 
Kwa hakika Magufuli amewashikisha adabu wapinzani wake.
Tangu aingie madarakani Mheshimiwa Rais Magufuli wapinzani wamekuwa hawana jipya zaidi ya kuvizia matukio ndiyo wajitokeze na kujifanya wanatoa matamko ya kinafiki.
 
Back
Top Bottom