NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
JF Salaam!
Siha wana bahati ya kumpata mbunge anayewajali, na ambae anajua wananchi wake wanahitaji nini.
Nimebahatika kufika maeneo/majimbo tofauti hapa Tanzania, lakini japokuwa Siha ni wilaya mpya wamejitahidi sana kuonyesha njia.
Huduma za afya ziko vizuri, barabara na huduma nyingine ziko vizuri! Hongereni viongozi wa Siha.
Kama Siha wameweza nini kinawashinda Rombo na Hai wilaya kongwe??? Tuchukue hatua tubadilike.
NKUU SINDE KWETU. Nduguyenu!