Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,904
Wanangu wa Mbeya hongera zenu kwa kuwa ma giants wa soka nchini just behind Dar
Nitoe pongezi kwa Timu za Mbeya City, Ihefu fc, Tanzania Prisons, Mbeya Kwanza na Ken Gold zinaonyesha umwamba wa soka Mkoa wa Mbeya.
Tuiunge mkono na timu ya Ken Gold inayocheza play off ili nayo ipande ligi kuu.
Lakini pia ifike mahala Tff, Serikali kushirikiana na wadau wa soka mkoani Mbeya Ili kujenga miundombinu ya kisasa ya michezo kama viwanja nk Ili kuhamasisha zaidi soka.
Sio kila mkoa una watu wenye vipaji vya michezo bali kule ambako watu wanaonesha juhudi basi waungwe mkono.
Mbeya mgonilee