masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,990
Kwenye RED and BOLDKatika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.
Kwa mafanikio hayi nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kuingea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.
Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii inebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi.
Fujo za kuchoma nyuma na makanisana hata watu kupigwa hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii vizazi ijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.
.
NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita
Katika habari za ITV saa mbili, Mama Dr Ester Mwaikambo ameonyeshwa akitunukiwa tunu ya Dr Martin Luther King na balozi wa Marekani nchini.
Hafla hiyo imefanyika ubalizini, ubalozi wa Marekani nchini.
Kwa mafanikio hayi nampongeza, lakini nampongeza zaidi kwa kuingea ukweli juu ya hali ya wasi wasi uliotanda nchini.
Mama Dr Ester Mwaikambo amesema mafanikio yake yametokana na hali ya usalama na amani iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi huko nyuma.
Akaongeza kuwa leo yeye ana miaka 70 lakini hali hii inebadilika na watu wanaishi kwa wasi wasi. Wanafunzi wanaishi kwa wasiwasi.
Fujo za kuchoma nyuma na makanisana hata watu kupigwa hali hii inaondoa amani.
Mama Dr Ester Mwaikambo aliendelea kusema katika hali hii vizazi ijavyo havitakuwa na amani na maendeleo kama waliyokuwa nayo wao.
NB Mama Dr Ester Mwaikambo ni mke wa marehemu Gibbons Mwaikambo aliyekuwa kati ya wadhamini wa CCM kabla ya kifo chake kilichokuwa cha utata miaka kadhaa iliyopita.
Kwenye RED and BOLD
Wewe utakuwa ni Mmoja wa wale 62% ya Kawambwa na Mulugo
This has Nothing to do with the Prize.
This Holy Cra.p Cra.p
Umezunguka sana na kukosea kosea:
kwanza ni professor, pili amesema hivi yeye alisoma vizuri kwa sababu kulikuwa na amani ya kutosha . Pili akasema in the past ten years amani imeanza kutoweka udini unaingia na fujo za hapa na pale. Hapo alikuwa anamwambia dhaifu kuwa hakuna anachofanya madarakani zaidi ya kutowesha amani
Correction.
Sio Dr ni Proffessor
Nimemuona huyo mama anaongea hapa nikatilia mashaka sana usomi wake. Nilivyosikia kapata tuzo hii kubwa nikaketi kwa makini kusikia anachotaka kutuambia watanzania hususan katika field yake lakini unfortunatelly ameongea habari zisizoeleweka.
Acheni ujinga wenu hivi unajua kama Baraka Obama ni Dr PhD Prof. ulishasikia hata siku moja watu wakimuita Prof. au yeye kulalamika kwa nini haitwi Prof.? Huyo mama pamoja yote na aliyofanikiwa kwanza pia hongera zake lkn Uprofesa wake unaishia Chuoni kwake akiwa nje ni Dr. tu!
Nimemuona huyo mama anaongea hapa nikatilia mashaka sana usomi wake. Nilivyosikia kapata tuzo hii kubwa nikaketi kwa makini kusikia anachotaka kutuambia watanzania hususan katika field yake lakini unfortunatelly ameongea habari zisizoeleweka.
hivi hii niliopata katika link uliyo weka ni nini? nime kolezea kwa rangi nyekundu hapo chiniObama Proff.??????????????????????????????
Hii kali ya Mwezi
Barack Obama - Wikipedia, the free encyclopedia
Obama Proff.??????????????????????????????
Hii kali ya Mwezi
Barack Obama - Wikipedia, the free encyclopedia
Asante mkuu!Kwani kinakushangaza kipi hapo?
Media Inquiries
The University of Chicago Law School handles media requests through the University of Chicago News Office. The Law School is happy to work with the media to provide access to our faculty members, who are experts on myriad subjects, or to provide comment on news stories where appropriate. For all media inquiries, please contact Sarah Galer at sgaler@uchicago.edu or 773 702 8365.
Statement Regarding Barack Obama
The Law School has received many media requests about Barack Obama, especially about his status as "Senior Lecturer."
From 1992 until his election to the U.S. Senate in 2004, Barack Obama served as a professor in the Law School. He was a Lecturer from 1992 to 1996. He was a Senior Lecturer from 1996 to 2004, during which time he taught three courses per year. Senior Lecturers are considered to be members of the Law School faculty and are regarded as professors, although not full-time or tenure-track. The title of Senior Lecturer is distinct from the title of Lecturer, which signifies adjunct status. Like Obama, each of the Law School's Senior Lecturers has high-demand careers in politics or public service, which prevent full-time teaching. Several times during his 12 years as a professor in the Law School, Obama was invited to join the faculty in a full-time tenure-track position, but he declined.
Hawezi kueleweka kwa bongo yako na pili ni kwasababu amesifia utawala ambao wewe na boss wenu mnachukia sana kusikia,kiasi mmeanzisha makundi ya kumkashifu mzee huyo marehemu!!!Nimemuona huyo mama anaongea hapa nikatilia mashaka sana usomi wake. Nilivyosikia kapata tuzo hii kubwa nikaketi kwa makini kusikia anachotaka kutuambia watanzania hususan katika field yake lakini unfortunatelly ameongea habari zisizoeleweka.
Bora kujua kuwa hawajui ili wajifunze kuliko kufikiria wanajua kumbe wahajui. Thanks.Asante mkuu!
Kuna watu wanajitia kujua only to find out that they are puppies!
Wewe ni mwongo, tafuta posti niliyotetea maovu hayo ili ujiridhishe nafsi yako.YUKO RIGHT
CCM YA SASA SI ILE TULIYOIJUA WAKATI TUNAKUA
ya sasa ni ile ya akina masopakyindi, ni ufisadi, unyang'anyi, ngono, uchwi, uuaji nk
ccm ilikufa na kolimba