Nimemuona akonay alijaribu kujiteteaNikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!
Hivi hiyo maza anagombea udiwani kata gani?
Ni Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo
Nikiwa muwazi kabisa, ukiachilia mbali mahaba watu waliojaa nayo kwenye vyama hivi vikubwa viwili, kama tukipima uwezo wa kupangilia na kuzungumza vitu kwa logic na kueleweka, huyu mma yuko kwenye level nyingine
I wish either atakayeshinda Urais atafute kufanya kazi na huyu mama...she seems to mean business
Ni Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo
Nikiwa muwazi kabisa, ukiachilia mbali mahaba watu waliojaa nayo kwenye vyama hivi vikubwa viwili, kama tukipima uwezo wa kupangilia na kuzungumza vitu kwa logic na kueleweka, huyu mma yuko kwenye level nyingine
I wish either atakayeshinda Urais atafute kufanya kazi na huyu mama...she seems to mean business
Hivi hiyo maza anagombea udiwani kata gani?
Iko vizuri hiyo- big up AnnaNikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!