malobosato
Member
- Sep 30, 2013
- 61
- 4
malobosatoUnamaana John Pombe Magufuli, yule ambaye alikuwa na "mgogoro" na TABOA pamoja na wamiliki wa maroli?
Sasa uzalendo uko wapi hapo ina mana utafia chato hutoki humo kwenda kununua viwanja bagamoyo na kufanya kazi mtwara au kudandia malori ya mafuta kama hutaki mabasiNamuangalia kwa jicho la KIBUNGE na si kama waziri
Zipi hizo nyumba unazosema.Yule aliyeuuza nyumba za serikali milion15 walionunua wanauza dola milioni1 mpka milioni 3.
Zipi hizo nyumba unazosema.
Magufuli jembe katika wabunge lazima awe tano bora au tatu bora.
Kiongozi aliyethubutu kusimamia sheria tu safi sana go magufuli there is no option in enforcing laws
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums