Nampongereza Rais JPM
A - Kukusanya kodi
B- Kuzuia mianya ya ukwepaji kodi
C- Kupambana na Wala rushwa
D - Kukopa pesa ili kujenga barabara na Fly Over
Watanzania wanaomba
A - madawa ya kutosha hospitalini (watu wengi wanakufa)
B- Mfumuko wa bei mkubwa....Kipato kidogo...Sukari sasa kilo ni 2800 mpaka 3500 Tshs
C- Kilimo cha umwagiliaji kitainua pato la watu wengi masikini vijijini
D - Serikali itumie akiba ardhi kuinua wazawa katika kilimo na kuongeza wigo wa kodi
Note: Rais ni baba wa wote, baba wa nyumba
Rais anaombwa, na sio kupangiwa
Baba Magufuli...sikiliza kilio cha wafanyakazi FAO LA KUJITOA na wazee wapate pension zao