Hongera kwa wafanyakazi wote

Hongera kwa wafanyakazi wote

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
400
Reaction score
484
Salaam Wana jamvi, leo ni siku kuu ya wafanyakazi wote duniani. Ni siku ambayo wafanyakazi wakada mbalimbali hukutana pamoja na kupongezana kwa kazi nzuri wanazo fanya ili kuhakikisha maisha ya watu yanasonga.

Tofauti na miaka yote wafanyakazi wetu hawatafanya sherehe kutokana na tishio la ugonjwa wa Covid 19 kushika kasi. Kipekee napenda kuwapongeza wafanyakazi wote Kwa kazi nzuri wanazofanya.

Pia napenda kuwapongeza na kuwashukuru wafanyakazi wa afya wote kwa kazi nzuri na ngumu wanayofanya kupambana na Covid 19.

MWISHO nasema HONGERA kwa wafanyakazi wote Mungu awabariki.
 
Salaam Wana jamvi, Leo ni siku kuu ya wafanyakazi wote duniani. Ni siku ambayo wafanyakazi wakada mbalimbali ukutana pamoja nakupongezana kwa kazi nzuri wanazo fanya ili kuhakikisha maisha ya watu yanasonga. Tofauti na miaka yote wafanyakazi wetu hawatafanya sherehekutokana na tishio la ugonjwa wa covid 19 kushika kasi. Kipekee napenda kuwPongeza wafanyakazi wote Kwa kazi nzuri wanazo fanya. Pia napenda kuwApongeza na kuwashukuru wafanyakazi wa afya wote kwa kazi nzuri na ngumu wanayofanya kupambana na covid 19. MWISHO na sema HONGERA kwa wafanyakazi wote Mungu awabariki.
Watumishi wa afya. . .the heroes of Today. Salute kwao
IMG_20200427_070741.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom