Hongera kenyatta

Hongera kenyatta

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Ktk hali ya kudhibiti ujangiri wa meno ya tembo na faru, Rais Uhuru Kenyatta ameamua kulinda hifadhi za nchini kenya kwa kutumia ndege zisizotumia rubani.Je kwetu sisi tanzania tunaweza kuwa na dhamira ya kweli?
 
hiyo Teknolojia kubwa na naiunga mkono kua ni nzur ila kwetu cna uhakika mana mabaya nadhan yanaanzia juu
 
Hakuna kisichowezekana Bongo tuna kila kitu haya na gas iko njiani tatizo viongozi wetu wanatuangusha sana sio waadilifu.
 
Wasiwasi wangu ni kama jk anaweza ku introduce hii aina ya ulinzi kwani alishasema kuwa wahusika wa ujangili anawafahamu! Sasa atauwa watu anao wafahamu?
 
Back
Top Bottom