Kwa wale waliopata nafasi ya kufika Viguza Village Hotel huko Mkuranga watakubaliana na mimi kuwa mwekezaji amejitahidi kufanya kweli na kuonyesha mfano kuwa hata Watanzania tunaweza Ku-Invest katika Hotel Sector kama tukiamua.
Hotel imejengwa vizuri na huduma zake pia wanajitahidi sana . . .
Nilipodadisi ni nani mmiliki wa Hotel hivyo . . . Nilielezwa kuwa inamilikiwa na Kamanda Mstaafu wa Kanda Maalumu ya Kipolisi DSM - Commissioner Tibaigana . . .
Hongera sana Kamanda kwa mafanikio hayo . . . .
Habari ndo hiyo . . .
Nami pia nampa hongera! Inaonekana mafao aliyoyapata kama kiinua mgongo ni baab kubwa na Polisi wanalipwa vizuri sana.
Lakini pia ungefafanua kidogo kutuondolea mashaka. Tungetaka kujua kama alipata mkopo benki au ni kiinua mgongo tu na mishahara aliyojiwekea kipindi cha kuajiriwa au ameingia ubia na mwekezaji mwingine vinginevyo maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi jamani tunataka hawa wastaafu wetu wawe ombaomba wanapojitahidi kujiandalia miradi inakuwa tatizo basi hebu tueleze kama unafahamu uwekezaji wake siyo halali
Hongera sana Tiba mpango mzuri baada kustaafu....maana wengine wanakurupuka na miradi wasieweza kwa maana hawakufanya research mapema huwa wakishika kibunda ndio wanaanza kupaparika 2 yrs kwisha na wanakufa mapema.
Kwa wale waliopata nafasi ya kufika Viguza Village Hotel huko Mkuranga watakubaliana na mimi kuwa mwekezaji amejitahidi kufanya kweli na kuonyesha mfano kuwa hata Watanzania tunaweza Ku-Invest katika Hotel Sector kama tukiamua.
Hotel imejengwa vizuri na huduma zake pia wanajitahidi sana . . .
Nilipodadisi ni nani mmiliki wa Hotel hivyo . . . Nilielezwa kuwa inamilikiwa na Kamanda Mstaafu wa Kanda Maalumu ya Kipolisi DSM - Commissioner Tibaigana . . .
Hongera sana Kamanda kwa mafanikio hayo . . . .
Habari ndo hiyo . . .
Kwa wale waliopata nafasi ya kufika Viguza Village Hotel huko Mkuranga watakubaliana na mimi kuwa mwekezaji amejitahidi kufanya kweli na kuonyesha mfano kuwa hata Watanzania tunaweza Ku-Invest katika Hotel Sector kama tukiamua.
Hotel imejengwa vizuri na huduma zake pia wanajitahidi sana . . .
Nilipodadisi ni nani mmiliki wa Hotel hivyo . . . Nilielezwa kuwa inamilikiwa na Kamanda Mstaafu wa Kanda Maalumu ya Kipolisi DSM - Commissioner Tibaigana . . .
Hongera sana Kamanda kwa mafanikio hayo . . . .
Habari ndo hiyo . . .
Nami pia nampa hongera! Inaonekana mafao aliyoyapata kama kiinua mgongo ni baab kubwa na Polisi wanalipwa vizuri sana.
Lakini pia ungefafanua kidogo kutuondolea mashaka. Tungetaka kujua kama alipata mkopo benki au ni kiinua mgongo tu na mishahara aliyojiwekea kipindi cha kuajiriwa au ameingia ubia na mwekezaji mwingine vinginevyo maswali ni mengi kuliko majibu.
Ushauri murua kabisa kwa kuanzia mwaka....!pia tukumbuke ..hata mkaona mtu leo anadhalilika baada ya kustaafu na nafasi alikuwa nayo ya kuwa na uwezo halali...mjuwe kama asingeendekeza ulevi na ngono..basi angekuwa mbali.....ngono na ulevi vingekuwa bati na tofali angekuwa na majumba mengi tu.....!!!...siku hizi tujifunze kuchukuwa wanawake kwa mali kauli!!!...wengine ...tumezowea mali kauli na waala hatukosi....
Isije kuwa una kijiba cha roho tu...! Angalia usife nachoWakulu,
Jambo msilolijua ni sawa na usikuwa giza.Kama watanzania mngejua aliyejenga Hiyo hoteli kwa ajili ya Tibaigana mngeshikwa na upumbuani.
Nchi hiii bwana..Mie na mimi nataka kuwa Waziri tu sasa hivi
Wakulu,