kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.

Naona ccm wamevamia huku ngoja tuwaachie waendelee kuchangia sie turudi site tukamalizie CDM ni msingi
Alutacontinua!
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.
kamanda mbowe anastahili kupongezwa na wazalendo wote wa nchi hii isippokuwa wale waganga njaa wa buk7 ambao wao njaa zimewafanya kuwa watumwa wa majangili na wauza unga!