Huyu kaka ni mtu mpole mcha mungu na mtu wa watu hana makuu hana baya na mtu, mtu wa tabasamu lisiloisha tena kutoka moyoni hana chembe ya unafiki na Mungu kambariki hekima kamwongezea na vingine
Si wote tunamjua au kuushuhudia upole wake.Ni nani hasa mtu huyo?Je,katokea Yudea au Samaria?Ni miongoni mwa wafanyabiashara kutoka Asia ya mbali hadi Uchina?