James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Bro mimi huyu Makamba wala sina nasaba naye ila naongea maoni yangu tu kwa kile nilichokionaWatanzania wanajua , Kua Makamba anataka kuturudisha kule kwenye miaka ya 2005--2015
Mnalipwa kumsifiaa
Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya TANESCO na mkurugenzi wake. Hata hivyo baada ya kuangalia ya January Makamba akiwatambulisha wanachama wa bodi na mkurugenzi wake nimebadili mawazo. Pia naweza kudiriki kusema January has assembled the best body of directors in Tanzanian history! Let's just say, it looks like a dream team. Hawa watu wametokea kwenye fani tofauti na niwazuri kwenye fani zao. Above all, they are winners. Najua Tanzania ina wasomi wengi lakini hawa watu they are winners, wana historia ya kufanya vitu vikubwa kwenye taasisi walizotokea.
Kitu kingine ambacho kinanifanya niwe optimistic ni kwamba hii bodi itakuwa independent. Hii ina maana itakuwa inafanya maamuzi kwa kutumia weledi na sio kutoka kwa wanasiasa.
Na mwisho, hawa watu tayari wameshashiba. Wamekubali zamana hizo kwa uzalendo wa kutumikia nchi yao na si kwa kingine.
If January manages to pull off on this one, I predict big things ahead of him. May be I'm too optimistic, but time will tell.
Nini maoni yako
Tunarudi enzi za Richmond,Dowans ,IPTL ni muda tu.Nasikia wote hao ni mkono wa msoga.
Mkuu, nakubaliana na wewe kuhusu historia binafsi ya utendaji wa akina Mafuru, Mchechu et. al. Ni vichwa ambavyo vinaweza kuwa na ushauri mzuri na wenye tija katika kutaka kuiendeleza TANESCO kimkakati.Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya TANESCO na mkurugenzi wake. Hata hivyo baada ya kuangalia ya January Makamba akiwatambulisha wanachama wa bodi na mkurugenzi wake nimebadili mawazo. Pia naweza kudiriki kusema January has assembled the best body of directors in Tanzanian history! Let's just say, it looks like a dream team. Hawa watu wametokea kwenye fani tofauti na niwazuri kwenye fani zao. Above all, they are winners. Najua Tanzania ina wasomi wengi lakini hawa watu they are winners, wana historia ya kufanya vitu vikubwa kwenye taasisi walizotokea.
Kitu kingine ambacho kinanifanya niwe optimistic ni kwamba hii bodi itakuwa independent. Hii ina maana itakuwa inafanya maamuzi kwa kutumia weledi na sio kutoka kwa wanasiasa.
Na mwisho, hawa watu tayari wameshashiba. Wamekubali zamana hizo kwa uzalendo wa kutumikia nchi yao na si kwa kingine.
If January manages to pull off on this one, I predict big things ahead of him. May be I'm too optimistic, but time will tell.
Nini maoni yako?
Mkuu, nakubaliana na wewe kuhusu historia binafsi ya utendaji wa akina Mafuru, Mchechu et. al. Ni vichwa ambavyo vinaweza kuwa na ushauri mzuri na wenye tija katika kutaka kuiendeleza TANESCO kimkakati.
Hilo kundi la "wasomi" na "walioshiba" halihusiki moja kwa moja na ufuaji, usambazaji na/au usimamizi wa matumizi na malipo ya umeme.Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya TANESCO na mkurugenzi wake. Hata hivyo baada ya kuangalia ya January Makamba akiwatambulisha wanachama wa bodi na mkurugenzi wake nimebadili mawazo. Pia naweza kudiriki kusema January has assembled the best body of directors in Tanzanian history! Let's just say, it looks like a dream team. Hawa watu wametokea kwenye fani tofauti na niwazuri kwenye fani zao. Above all, they are winners. Najua Tanzania ina wasomi wengi lakini hawa watu they are winners, wana historia ya kufanya vitu vikubwa kwenye taasisi walizotokea.
Kitu kingine ambacho kinanifanya niwe optimistic ni kwamba hii bodi itakuwa independent. Hii ina maana itakuwa inafanya maamuzi kwa kutumia weledi na sio kutoka kwa wanasiasa.
Na mwisho, hawa watu tayari wameshashiba. Wamekubali zamana hizo kwa uzalendo wa kutumikia nchi yao na si kwa kingine.
If January manages to pull off on this one, I predict big things ahead of him. May be I'm too optimistic, but time will tell.
Nini maoni yako?
Nakubaliana na wewe asilimia mia. Na kwa kuonesha umahiri wao na u independent wao, sie wa Kanda Ziwa kesho Jumamosi hatutakuwa na umeme siku nzima! Hongera sana Waziri Makamba! Hongera Bodi ya TANESCO!Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya TANESCO na mkurugenzi wake. Hata hivyo baada ya kuangalia ya January Makamba akiwatambulisha wanachama wa bodi na mkurugenzi wake nimebadili mawazo. Pia naweza kudiriki kusema January has assembled the best body of directors in Tanzanian history! Let's just say, it looks like a dream team. Hawa watu wametokea kwenye fani tofauti na niwazuri kwenye fani zao. Above all, they are winners. Najua Tanzania ina wasomi wengi lakini hawa watu they are winners, wana historia ya kufanya vitu vikubwa kwenye taasisi walizotokea.
Kitu kingine ambacho kinanifanya niwe optimistic ni kwamba hii bodi itakuwa independent. Hii ina maana itakuwa inafanya maamuzi kwa kutumia weledi na sio kutoka kwa wanasiasa.
Na mwisho, hawa watu tayari wameshashiba. Wamekubali zamana hizo kwa uzalendo wa kutumikia nchi yao na si kwa kingine.
If January manages to pull off on this one, I predict big things ahead of him. May be I'm too optimistic, but time will tell.
Nini maoni yako?
Kinondoni tayari ni giza usiku huu, na joto la Dar niko nje kupata japo kiupepo kwa mbaliNakubaliana na wewe asilimia mia. Na kwa kuonesha umahiri wao na u independent wao, sie wa Kanda Ziwa kesho Jumamosi hatutakuwa na umeme siku nzima! Hongera sana Waziri Makamba! Hongera Bodi ya TANESCO!
Dah tuzidi kuishi ili tuone mengiAssalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.