Hongera Idris Sultan

Hongera Idris Sultan

Aling'ata na kupuliza kwa pamoja japo mpaka ukae ufikirie alichokiandika ila hongera zake kwa kung'ata
 
Inafurahisha sana kuona watu maarufu nao wanaliunga mkono hili jambo
Wakipatikana wasanii kama kumi wakifanya kama alvyofanya idris itasaidia katika mbio zetu za kumtoa nduli madarakani

Viatu vikatike miguu ivunjike kesho tujitahidini tujitokeze kwa wingi
Mmh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom